Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti
Tanzania na Korea Yafanya Mazungumzo Kutekeleza Mradi wa Maji wa Rufiji
Serikali ya Tanzania na Jamhuri ya Korea zimefanya mazungumzo kuhusu utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Rufiji kama mpango wa muda mrefu wa kuboresha huduma ya majisafi na salama kwa wakazi wa Jiji la Da...... Soma zaidi
Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kuimarisha Huduma ya Majitaka Dar es Salaam
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesema ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na Jamhuri ya Korea utaimarisha huduma ya majitaka kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake.... Soma zaidi
Watendaji Sekta ya Maji Mwanza Wapongezwa
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo mathew amehitimisha ziara yake mkoani Mwanza na kuwapongeza watendaji wa sekta ya maji mkoani hapo kwa usimamizi mzuri wa miradi inayoendelea.... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

