Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti
Bilioni 81 Kumaliza Changamoto ya Maji Morogoro
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesema kuwa kukamilika kwa ujenzi wa Mtambo wa Kutibu Maji kutawezesha Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) kuongeza uzalishaji wa maji...... Soma zaidi
Waziri Aweso Apokea Mabomba ya Bil. 7, Ataka Mradi wa Maji Mkinga–Horohoro Ukamilike Haraka
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesisitiza kuwa kazi ya ujenzi wa Mradi wa Maji wa Mkinga–Horohoro unaotekelezwa katika Wilaya ya Mkinga, mkoani Tanga, ni lazima ikamilike haraka iwezekanavyo...... Soma zaidi
Tanzania na Korea Yafanya Mazungumzo Kutekeleza Mradi wa Maji wa Rufiji
Serikali ya Tanzania na Jamhuri ya Korea zimefanya mazungumzo kuhusu utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Rufiji kama mpango wa muda mrefu wa kuboresha huduma ya majisafi na salama kwa wakazi wa Jiji la Da...... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

