Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti
Bodi ya NJUWASA Kuimarisha Mikakati ya Uhifadhi wa Vyanzo vya Maji
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Njombe (NJUWASA) imefanya ziara ya kikazi kukagua utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Lugenge pamoja na kutathmini hali ya chanzo cha...... Soma zaidi
Kamati ya Usalama Yaridhishwa na Utekelezaji wa Miradi ya Maji Morogoro Mjini
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Morogoro, ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mhe. Mussa Kilakala, imetembelea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya maji inayoendelea kutekelezwa na Mamla...... Soma zaidi
Ujenzi wa Bwawa la Songwe Lawakutanisha Viongozi wa Serikali
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ameongoza kikao muhimu cha Makatibu Wakuu kujadili hatua za utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Songwe Chini pamoja na Mtambo wa Kuzalish...... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

