Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti
Aweso Aanza na Dodoma, Bilioni 62 Kutekeleza Miradi ya Muda Mfupi
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso ameanza na mkakati mahususi wa kuboresha huduma ya maji kwa kutekeleza miradi ya muda mfupi yenye thamani ya shilingi bilioni 62 katika Jiji la Dodoma.... Soma zaidi
Teknolojia ya Kisasa Itumike Katika Maombi ya Maunganisho ya Maji - Mhandisi Mwajuma
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri ametaka maombi ya maunganisho mapya yafanyike kwa teknolojia ya kisasa ili kupunguza urasimu na kufikisha huduma kwa wateja kwa wakati.... Soma zaidi
Ujenzi wa Mabwawa ya Taka Sumu Uzingatie Sheria na Usalama
Serikali imeendelea kusisitiza kuwa ujenzi na usimamizi wa mabwawa ya taka sumu lazima uzingatie kikamilifu Sheria ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji pamoja na kanuni za usalama ili kulinda mazingira...... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Stakeholders Engagement Plan for Sustainable Rural Water Supply and Sanitation Program
Stakeholders Engagement Plan for RWSSP2 click Soma zaidi
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

