Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti
Naibu Waziri Kundo Atoa Siku 60 Kukamilisha Mtandao wa Mabomba Serengeti
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb), ametembelea Mradi wa Maji wa Miji 28 wilayani Serengeti, mkoani Mara na kumuagiza mkandarasi kukamilisha ujenzi wa kilomita 30 za mtandao wa mabo...... Soma zaidi
Serikali Yajadiliana na Exim Bank India Kukamilisha Miradi ya Maji kwa Wakati
Serikali imefanya mazungumzo na kuhusu Mradi wa Kimkakati wa Miji 28 na Mwakilishi wa Benki ya Exim ya India kuzingatia makubaliano na kukamilisha ujenzi wa Mradi ya Maji wa Miji 28.... Soma zaidi
Dkt. Nchemba Ataka Bwawa la Kidunda Kukamilika kwa Wakati
Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), ameiagiza Wizara ya Maji kuhakikisha mradi wa Bwawa la Kidunda unasimamiwa kwa karibu na unakamilika kwa wakati ili kuanza kutoa huduma ya maji kwa wananc...... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

