Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti
Aweso Acha Neema Kivule, Azindua Utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Sh. Bilioni 2.7
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), ameacha neema kwa wakazi wa Kivule baada ya kuzindua rasmi utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Kivule wenye thamani ya takribani Shilingi bilioni 2.7.... Soma zaidi
Waziri wa Maji Afanya Ziara ya Nyumba kwa Nyumba Kufuatilia Huduma ya Maji Kinyerezi
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), ametembea nyumba kwa nyumba ili kujua hali halisi ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Kata ya Kinyerezi, wilayani Ilala, Jiji la Dar es Salaam.... Soma zaidi
Wahitimu wa Chuo cha Maji Wapate Nafasi Kwenye Sekta ya Maji – Aweso
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amezitaka taasisi za Sekta ya Maji kuwapa nafasi vijana ambao ni wahitimu wa fani mbalimbali katika Chuo cha Maji kuonyesha ujuzi wao.... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Stakeholders Engagement Plan for Sustainable Rural Water Supply and Sanitation Program
Stakeholders Engagement Plan for RWSSP2 click Soma zaidi
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

