Maoni juu ya tovuti

83.70%
5.30%
11.00%
38.80%
25.65%
35.54%
38.58%
24.57%
36.85%
Generic placeholder image
Waziri Aweso Asisitiza Ufanisi na Tija kwa Bodi za Maji za Mabonde

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amezisistiza Bodi za Maji za Mabonde nchini kuimarisha ushirikiano wa karibu ili kuhakikisha ufanisi na matokeo yenye tija katika usimamizi wa rasilimali za maji...... Soma zaidi

Imewekwa: 31st Jan 2026
Generic placeholder image
Mhandisi Mwajuma Awataka Bodi ya Taifa ya Maji Kutembelea Miradi ya Maji

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ameitaka Bodi ya Taifa ya Maji kutembelea miradi ya maji inayotekelezwa kwa lengo la kuongeza uelewa kuhusu Sekta ya Maji.... Soma zaidi

Imewekwa: 31st Jan 2026
Generic placeholder image
Waziri Aweso Aanika Mafanikio ya Sekta ya Maji

Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb), amesema kuwa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, yameendelea kuwa dira kuu ya utekelezaji wa majukum...... Soma zaidi

Imewekwa: 31st Jan 2026
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025

RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi

20th Mar 2025 Mlimani City Dar Es Salaam

Advertisements

Taarifa kuhusu mikutano mitatu ya sekta ya maji iliyofanyika Dodoma.

TAARIF... Soma zaidi

Jan 30, 2026
Jarida Tando: Oktoba - Desemba 2025

Soma zaidi

Dec 31, 2025
Maji na Safari ya Mapinduzi katika Huduma

Soma zaidi

Oct 21, 2025

Karibu

Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

Vyanzo vya Maji Tanzania

Waliotembelea Tovuti