Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti
Bwawa la Kidunda Kuzalisha Lita Bilioni 20 kwa Siku, Kuwa Suluhu ya Changamoto ya Maji Jijini Dar
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesema Bwawa la Maji la Kidunda linatarajiwa kuwa na uwezo wa kuzalisha hadi lita bilioni 20 za maji kwa siku kwa ajili ya huduma ya majisafi na salama.... Soma zaidi
Serikali Yataka Mradi wa Maji Mafinga Ukamilike kwa Kasi na Ubora
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Kundo Andrea Mathew (Mb), amemtaka mkandarasi wa Mradi wa Maji wa Miji 28 Mafinga, Kampuni ya Jandu Plumbers Ltd, kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo ili kuhakikisha w...... Soma zaidi
Kundo Aagiza Taasisi Zote Za Sekta Ya Maji Njombe Kuboresha Huduma
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, amezitaka taasisi zote za sekta ya maji mkoani Njombe kufanya tathmini ya kina na kuwasilisha takwimu sahihi kuhusu hali ya upatikanaji wa huduma ya maji k...... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Stakeholders Engagement Plan for Sustainable Rural Water Supply and Sanitation Program
Stakeholders Engagement Plan for RWSSP2 click Soma zaidi
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

